@_mr_mutinda
Jay
2 months
@Martinjorogee Kumbe unakumbuka. Hizo chapo zilikuwa greatness
0
0
11

Replies

@_mr_mutinda
Jay
2 months
2004 pale Westlands Primary nikiwa nimetransfer kutoka ocha, classmate alinisaidia na pen moja and I thanked him. Akasema 'Don't mention it' . Nikimwambia 'Okay,I'll keep it a secret' smh!
130
1K
4K
@Martinjorogee
Capture_Land
2 months
@_mr_mutinda Watu wengi hawangekosa kukuja shule on Wednesday juu ya chapati Wednesdays na siku mko na swimming lessons 😂😂
1
0
23