@Yanga1935
Young Africans SC
8 years
Karibu yanga for daily update ya social media zetu
Tweet media one
5
4
18

Replies

@Yanga1935
Young Africans SC
8 years
@RNchanana nadhani hujui usemalo, tazama social media zote za yanga ziko onair na very active kuliko za wengine kwenye ligi yetu poleni sana
0
0
0
@Yanga1935
Young Africans SC
8 years
@RNchanana halafu mimi sio afisa habari, na pia majukumu ya website ni moja kati ya mambo mengi tunayofanya pia website inakarabatiwa sasa.
0
0
4
@Fmalopa
Mr Liverpool 08
8 years
@Yanga1935 website yenu haiko updated,jaribuni kuweka current events at least kila siku.. Pia muweke fixtures ya timu yetu karibu mechi zote
0
0
0
@EmmanuelFactory
Emmanuel Mbilinyi
8 years
@Yanga1935 mbona Facebook hamna page wekeni
0
0
0
@ShafiiNdege
Shafii Ndege
8 years
@yanga1935 Sio kweli tunasubili sana updates za yanga ikiwa uwanjani lkn mnakuwa wazito sana
0
0
1
@Butagokada
Mwarobaini
8 years
@Yanga1935 Sio kweli,Mmekuwa wazito kuhusu kuapdated
0
0
1
@JoachimGodfrey
joachim_godfrey
8 years
@Yanga1935 utaratibu huu ulikuwepo kipindi cha kizuguto ila kuanzia ww umeingia website ya yanga ina matukio ya miaka mingi nyuma. Good
0
0
0