@Yanga1935
Young Africans SC
9 years
Leo timu yetu inaingia uwanjani kupambana na #Kagera sugar mchezo utakaochezwa muda wa Saa 10 jioni.... http://t.co/qsa1tVVHQp
Tweet media one
Tweet media two
10
5
22

Replies

@chenjeb04
Machenje HDᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠᅠ
9 years
@Yanga1935 mbona siku hizi hamtupi updates? maana tulizoea after every 15mins wakt wa mechi na kila linapotokea goli ama tukio flan. WHY??
0
0
0
@AsaleemSas
Saleem A. Salim🇹🇿
9 years
@Yanga1935 daima mbele nyuma mwiko
0
0
0
@chandruok
Justin
9 years
Kila la heri @Yanga1935 , ushindi kwetu muhimu
0
0
0
@InocentValence
inocent valence
9 years
@Yanga1935 ushindi lazi
0
0
0
@AbkaKjr
Kjr Abka
9 years
@Yanga1935 ushindi kama kawa leo goli nyingi nyingi 2 daima mbele nyuma mwiko ama nene young africans
0
0
0
@mushubirwa
egidius mushubirwa
9 years
@Yanga1935 Tunawatakia ushindi ili tupate pointi tatu na kurejea kileleni.
0
0
0
@kara_remtullah
kara remtullah
9 years
@Yanga1935 Mungu ibariki Yanga tupate ushindi kama wa Platinum
0
0
0
@exaverykipalile
Exavery .A.Kipalile
9 years
@Yanga1935 Hongera sana tm yetu tumefulai sana
0
0
0