TwevePauLo Profile Banner
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ Profile
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ

@TwevePauLo

Followers
37K
Following
191K
Media
4K
Statuses
88K

β€œEntrepreneur | UDSM Alumni | Mkombozi Founder – Built on resilience, family, and purpose. Inspired by those who believed in me. #Mkombozi”

𝗔𝗙π—₯π—œπ—–π—”, π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—”
Joined July 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
11 hours
Ila Gen-Z kumbe 208 maana yake tuonane!πŸ€—πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏ.
2
2
21
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
10 hours
Kadri wanavyozidisha vita za kimwili ndivyo wanavyoongeza baraka za kiroho.
@fumbokhanJr
Fumbo Khan
20 hours
Wahenga hawaamini watu wanao pewa laana wanafanikiwa sana Kuliko wanao toa laanaπŸ˜‚πŸ˜‚
0
1
2
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
11 hours
Wakati namaliza kidato cha nne pale kifanya secondary nilijiapiza siku nitakayo rudi kuchukua cheti nitarudi na ndinga la maana niwavimbie walimu haswa wanoko wanoko wale, ila nikikumbuka siku niliyoenda kuchukua cheti niliomba lift kwenye malori ya kwenda songea nachoka sanaπŸ™ŒπŸΏ.
0
0
0
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
11 hours
Solve for β€œXβ€πŸ‘‡πŸΏ
0
0
0
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
12 hours
Kuna yule jamaa anauza magari used, ukiwa unamsikiliza unasikia tajiri tajiri kama zote πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏ
1
0
2
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
15 hours
Una expire uhai.
@Paullyker
LYKER 🌴
21 hours
Hivi nikinywa Sumu ambayo ime-expire nitakufa kweli...!? πŸ€”πŸ€€
0
0
0
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
20 hours
Kila nikisave hela baada ya week natumia, sijui shida nini?πŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ
0
0
0
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
20 hours
Sawa tajiri.
@KEYDEVU
KIDEVU
23 hours
Starehe kubwa ya masikini ni ngono,ndiomana wanawahi sana kuoa!!πŸ—οΈ
0
0
1
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
20 hours
Hizo pisi za NIT (Mabibo sokoni ) ni U. T. I tupu broπŸ™‡πŸΏ
@udsm_finest
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘
24 hours
Vyuo vyenye pisi kali Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 🀣 1. IFM 2. CBE 3. TIA 4. UDSM 5. NIT 6. ..... ongeza chuo kingine hapo πŸ‘‡
2
1
8
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
20 hours
Dawa ya ubaya ni ubaya usiseme siwezi kupigana mwenyewe napiganiwa na Baba.
@TonnyUnfiltered
AMπŸ’‘
1 day
Usiwe mkorofi wala mnyenyekevu kupita kiasi; ishi na watu kulingana na tabia zao.πŸ“Œ
2
1
7
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
20 hours
Ogopa tu kuharibu mahusiano ya watu πŸ˜‚
@nyuki_malkia
Malkia Nyuki πŸ‘‘
1 day
Nimepata kazi Tanga kuna haja ya kujiganga ????
1
0
9
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
20 hours
Kwangu mimi kumsaidia asiyejiweza. Pia mchungaji hapewi sadaka, sadaka inayotolewa kanisani ni kwaajili ya kupendezesha nyumba ya Bwana.
@Mrsdaviee
Ms Bee🌹
24 hours
Je sadaka bora ni ipi?? Kumpa mchungaji anaejiweza kimaisha au kusaidia wasiojiweza?
0
0
0
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
20 hours
Ni changamoto gani mnazokumbana nazo mnaowadate Gen-z?πŸ‘‡πŸΏ
3
8
30
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
22 hours
Kwahio akikupost baada ya muda akafuta anamaanisha nini?
0
0
1
@joshuamsuyatz
Joshua Msuya
23 hours
Huna hela brother. Madam weusi ni wanyekevu sana. Mi ni shahidi, Kuna brother hapa ame pull up na BIMA, Adi Demu wangu saiv ameenda kumsaidia kufanya usafi kwake, Madem weusi unyama sana, akilamiza kwangu na kwa mwamba anaenda, Huu unyekevu madem weupe hawana.
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
2 days
Mademu weusi wana dharau kinoma πŸ™‡πŸΏ!
6
2
7
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
2 days
Mtu unampenda yeye anakazana kukuita kaka.
8
8
54
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
2 days
Drama Drama tu!!
@mj0058
MJ β„’
2 days
Hivi mwanajeshi wa U S A aliyekamantwa na mabomu kesi yake illishaje??
0
1
16
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
2 days
Kwanini mtu akianza kupendeza/kuchizika anakuwa anacheka cheka ovyo?
0
0
11
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
2 days
Watu wa kukupa connection wanakuja kwa vivuli vingi asee.
@WideEdson
MJUKUU
2 days
Jenga mazoea ya kuheshimu watu bila kujua sifa zao, cheo au nafasi zao.
0
0
4
@TwevePauLo
πŒπŠπŽπŒππŽπ™πˆ
2 days
Ukiona unawaza hivi ujue una safari ndefu sana πŸ˜…
@heisnabeel
𝑡𝑨𝑩𝑬𝑬𝑳
2 days
Kiasi gani kikubwa cha pesa umewahi kumiliki kwenye maisha yako?
2
0
3