
DON™ 🫧
@StimmerDon
Followers
3K
Following
38K
Media
804
Statuses
32K
#COYG || NYASHINSKI 🐐|| MESSI 🐐|| Follow @nazigi_chine, @papichulo1_____
🇰🇪
Joined March 2025
...
0
3
7
Unapata fundi wa viatu amevaa viatu zako ukimuuliza anasema anafanya roadtest 😂
5
44
57
I stand with gasheri . Pia mimi amewahi niuzia apples mara kama mbili ama tatu
6
29
51
Nmeingia green app nikafikiria sina data kumbe hakuna mtu amenitext 🥹
6
56
86
Heri nusu shari kuliko shari kamili,muwe na siku yenye fanaka wangwana
7
30
42
Nashangaa mbona tl sikuhizi hainuki chapo ,, kumbe yule ninja wa kupika chapo hana za data 😂
9
73
117
Kumbe those unemployed mnasikianga hivi, foreman hakunifanyia poa jana
1
8
17