MCODE_Tanzania
@MCODE_NGO1
Followers
128
Following
627
Media
312
Statuses
401
Movement For Community Development (MCODE), an NGO that envisions a wealthy_healthy developed society, through organized farming (agri_devolopment).
Songea_ Ruvuma, Tanzania.
Joined November 2019
Afisa Ugavi wa MCODE baada ya kikao cha maandalizi ya msimu wa kilimo 2025/2026 na wanachama wa Kikundi cha Wanaharakati Group Makambako, kijiji cha Nakawale, kata ya Mkongo, wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma. Lengo kujadili mahitaji ya pembejeo za kilimo kwa msimu mpya 2025/26.
0
0
1
MCODE tunawashukuru ndugu, jamaa na marafiki kwa ushirikiano wenu katika kipindi cha msiba wa aliyekuwa mfanyakazi wetu, Bw. Greyson Komba, aliyefariki dunia tarehe 30 Oktoba 2025 na kuzikwa, 6 Novemba 2025, katika kijiji cha Mkili, wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma. R.I.P GREYSON
1
0
0
Taasisi ya MCODE inasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wetu Bw. Greyson Komba, aliyekuwa Mratibu wa taasisi katika Mkoa wa Ruvuma, aliyefariki Oktoba 30,2025. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani, milele Amina. Tunapenda kutoa pole kwa ndugu, jamaa na mariki wote.
0
0
0
Lima nasi, Vuna nasi, Tajirika nasi. @passtrust @equitybanktz @nfra_tz @tosci_official @tfra_official @official_taritanzania @tfnctanzania @wizara_ya_kilimo @norwayintz Follow the MCODE_TZ channel on WhatsApp: https://t.co/xbHhRjCpJD
0
0
0
Lima nasi, Vuna nasi, Tajirika nasi. @PassTrust @equitybanktz @nfra_tz @tosci_official @tfra_official @official_taritanzania @tfnctanzania @wizara_ya_kilimo @norwayintz
0
0
0
Mkurugenzi mtendaji wa MCODE Slaiton Kaberege,@slaiton_kaberege amehudhuria tukio la utiaji saini mkataba wa utekelezaji wa Mradi wa Kuendeleza Kilimo cha Soya Mkoani Ruvuma. Tukio hilo ni baina ya Ubalozi Norway nchini Tanzania kwa kushirikiana na PASS TRUST, AGCOT na MCODE
1
0
0
Taasisi ya MCODE tuko tayari kwa tukio zima la utiaji saini mkataba wa utekelezaji wa Mradi wa Kuendeleza Kilimo cha Soya Mkoani Ruvuma. Lima nasi, vuna nasi, tajirika nasi. @wizarakilimo @PASSTRUST @EQUITYBANK @NFRA @TOSCI @TFRA @TARI @TFNC
1
0
0
Ni Oktoba 23,2025 Jambo kubwa Lima nasi, vuna nasi, tajirika nasi. Follow the MCODE_TZ channel on WhatsApp: https://t.co/xbHhRjCpJD
@wizarakilimo @PASSTRUST @EQUITYBANK @NFRA @TOSCI @TFRA @TARI @TFNC
0
0
0
Picha ya pamoja Mratibu wa MCODE Mkoa wa Ruvuma, Greyson Komba, ameshiriki kikao cha maandalizi ya msimu wa kilimo 2025/2026 na wanachama wa Kikundi cha Ushindi, kata ya Sisi Kwa Sisi,Tunduru katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru. ima nasi, Vuna nasi, Tajirika nasi
0
0
0
Mratibu wa MCODE Mkoa wa Ruvuma, Greyson Komba na mwanachama wa Kikundi cha Upendo Nandembo, akimjengea uwezo wa kujaza taarifa kwenye kikao cha maandalizi ya msimu wa kilimo 2025/2026, katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru. *Lima nasi, vuna nasi, tajirika nasi.*
0
0
1
Mratibu wa MCODE Mkoa wa Ruvuma, Greyson Komba, ameshiriki kikao cha maandalizi ya msimu wa kilimo 2025/2026 na wanachama wa Kikundi cha Upendo Nandembo katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru. Lima nasi, Vuna nasi, Tajirika nasi @wizarakilimo @PASSTRUST @EQUITYBANK @NFRA
0
0
0
Happy Nyerere Day ✍️ Lima nasi, vuna nasi, tajirika nasi. @wizarakilimo @PASSTRUST @EQUITYBANK @NFRA @TOSCI @TFRA @TARI @TFNC
0
0
1
Katibu Mtendaji wa MCODE, wadau wa PASS Trust na wanachama wa vikundi vya Utulivu Mwinuko, Ukombozi Mwinuko, Upendo Group Kijiji cha Mwinuko, Kata ya Mkongo-Nakawale Namtumbo, baada ya kikao cha tathmini ya ulipaji wa deni la msimu uliopita na mahitaji ya pembejeo msimu mpya.
0
0
1
Katibu Mtendaji wa MCODE, wadau wa PASS Trust na wanachama wa kikundi cha Kazi Na Maendeleo & Kipaumbele, kijiji cha Mtelawamwahi, Kata ya Ligera Namtumbo, baada ya kufanya kikao cha tathmini ya ulipaji wa deni la msimu uliopita na kujadili mahitaji ya pembejeo kwa msimu mpya.
1
0
0
Picha: Katibu Mtendaji wa MCODE, wadau wa PASS Trust, na wanachama wa vikundi vya Umwagiliaji Namahoka na Mviwata Namahoka, kijiji cha Namahoka, Kata ya Ligera, baada ya kikao cha tathmini kuhusu ulipaji wa deni la msimu uliopita na kujadili mahitaji ya pembejeo kwa msimu mpya.
0
0
0
Katibu Mtendaji wa MCODE, wadau wa PASS Trust, pamoja na wanachama wa vikundi vya Vialua Development Action na Kidodi, kijiji cha Njoomlole, Kata ya Ligera, wilaya ya NamtumboRuvuma, baada ya kikao cha tathmini kuhusu ulipaji wa deni la msimu uliopita na mahitaji kwa msimu mpya
0
0
1
Katibu Mtendaji wa MCODE, wadau wa PASS Trust, pamoja na wanachama wa Kikundi cha Kilimo Kwanza Kitanda, kijiji cha Kitanda, Kata ya Kitanda, Namtumbo – Ruvuma, baada ya kikao cha tathmini ya pamoja kuhusu ulipaji wa deni la msimu uliopita na mahitaji ya pembejeo kwa msimu mpya.
0
0
1