Mabusha yanaepukika na YANATIBIKA. Wanaume wengi wanaopata mabusha wananyanyapaliwa na wanachelewa kupata matibabu. Tanzania imefanya upasuaji wa mabusha kwa wanaume zaidi ya 11,000 tangu 2021; ni mwanzo mzuri, bado tuna nafasi ya kutokomeza mabusha na matende ifikapo 2030!
4
9
41
Replies
@Kudu_ze_Kudu Tanga pale Referral Hospital(Bombo) kuna Mzee alifariki naona kisa Busha nikikumbuka alikataa kata-kata kuhudumiwa wakati alianza kuoza Korodani Hii Elimu ipelekwe sn Huu uwanda wa Pwani,Uelimishaji uzingatiwe🔨 kuwaondoa kwenye Hii IMANI POTOFU kwamba inaletwa na Maji ya Madafu
0
2
4