Yani Tanzania unakamatwa alafu ndio unatafutiwa kosa la wewe kukamatwa... Si walisema wana ushahidi wa siri kuhusu Lissu si ni upelelezi tosha... #NoReformsNoElection
#newconstitution
0
0
1