IheboJr Profile Banner
Steph Profile
Steph

@IheboJr

Followers
5K
Following
371K
Media
338
Statuses
65K

sharing things i'm learning through life and other interests

Afrika
Joined May 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@IheboJr
Steph
12 hours
RT @IheboJr: rafiki utakuja kufa ukiwa Single kwa kuogopa kuingilia mapenzi ya watu. tafuta wapenzi wanaolegalega jichomeke tu!.
0
5
0
@IheboJr
Steph
12 hours
rafiki utakuja kufa ukiwa Single kwa kuogopa kuingilia mapenzi ya watu. tafuta wapenzi wanaolegalega jichomeke tu!.
0
5
24
@IheboJr
Steph
12 hours
RT @IheboJr: sometimes unakaa single muda mrefu. hadi mtu akikwambia "I Love You" unajibu "Amen!".
0
7
0
@IheboJr
Steph
12 hours
sometimes unakaa single muda mrefu. hadi mtu akikwambia "I Love You" unajibu "Amen!".
1
7
25
@IheboJr
Steph
12 hours
RT @x_weep: Huwezi kuwa gangster na unapenda pink.
0
112
0
@IheboJr
Steph
12 hours
RT @IWillLive_X: Kipindi hiki dimba la kati la Juventus lilikuwa kwenye mikono salama sana πŸ™Œ
Tweet media one
0
26
0
@IheboJr
Steph
12 hours
RT @Master_plan7: Tuongee Ukweli Tangia Umeingia Kwenye Hayo Mahusiano Umepata Faida Gani.?.
0
30
0
@IheboJr
Steph
12 hours
RT @Finah_Business: JUG & 6 GLASSESπŸ˜‹πŸ˜. TSH 25,000. 0755 693 113. πŸ“ UBUNGO EXTERNAL
Tweet media one
0
30
0
@IheboJr
Steph
12 hours
RT @goldenmvrs: Bora Upotee Mwenyewe Kuliko Kuelekezwa Na Masai.
0
38
0
@IheboJr
Steph
14 hours
RT @IheboJr: usajili wanaoendelea kufanya YANGA msimu huu. ni wa kushiriki Uefa Champions League πŸ”° πŸ™Œ.
0
8
0
@IheboJr
Steph
14 hours
RT @KEYDEVU: Ugumu wa maisha unatufanya tuonekane hatuwapendi!!✍️.
0
63
0
@IheboJr
Steph
14 hours
usajili wanaoendelea kufanya YANGA msimu huu. ni wa kushiriki Uefa Champions League πŸ”° πŸ™Œ.
0
8
23
@IheboJr
Steph
15 hours
RT @IheboJr: mambo yanayo tuumiza pia ndiyo yanayo tuunganisha na binadamu wengine sababu binadamu wengi hupitia maumivu katika maisha. u….
0
16
0
@IheboJr
Steph
17 hours
mambo yanayo tuumiza pia ndiyo yanayo tuunganisha na binadamu wengine sababu binadamu wengi hupitia maumivu katika maisha. usijione uko peke yako tuko wengi na usijione una mkosi. sio mkosi ni uhalisia wa maisha.
1
16
35
@IheboJr
Steph
17 hours
RT @_mapalala_: Si hata wew umeona vile chuki haiwezi zuia baraka.
0
6
0
@IheboJr
Steph
17 hours
RT @Mainainnit: nishai jaribu kuchana kama sijadishi and lemme tell you nilikua almost kuenda kwa baba.
0
21
0
@IheboJr
Steph
17 hours
RT @G_Koffie: It's very painful to shoot your shots then you miss by an inch.
0
72
0
@IheboJr
Steph
17 hours
RT @mchizidamas: Simba Sc wamefungua mazungumzo na Top Scorer wa ligi kuu ya Ivory Coast msimu uliopita Dramane kamgate(20) anayeitumikia k….
0
23
0
@IheboJr
Steph
17 hours
RT @moyowakijani: Mashabiki wa simba ni kama wamekata tamaa.
0
16
0
@IheboJr
Steph
20 hours
RT @IheboJr: ambaye hakukusaidia kujenga msingi. asikutishe na utabiri wake wapi urefu wa paa lako litaishia!.
0
15
0