
SENIOR Eng. π
@Decoull27
Followers
2K
Following
19K
Media
300
Statuses
12K
I am Eng. Decoull Servant Of The Gentle | Web & App Developer | Author | YouTuber | Crypto Enthusiast | Community & Content Moderator | Founder of Make Dollary
Joined September 2019
#YouTuber. Huwa inatokea video inakuletea Subs kwa wingi kuliko Revenue. Hii huwakuta YouTubers wengi. Na huwa kuna video yenyewe, ndio main core ya channel inaweza kuwa ulipost 5 years ago lakini ndio inaleta Subs wengi kila siku. Comment screenshot video yako kinara tuone!
0
0
7
#WRC Tunakiwasha! Ni Kuanzia 20 - 23 Machi 2025, Naivasha itawaka moto na mbio kali za WRC Safari Rally! Sio tu rally, njoo uburudike π°πͺ Kenya. Ruka na @MagicalKenya kupitia linki: kujifunza zaidi! #MagicalKenya # #TwendeKwaJirani #SafariRallyKenya2025
1
1
3
#WRC Tunakiwasha! Ni Kuanzia 20 - 23 Machi 2025, Naivasha itawaka moto na mbio kali za WRC Safari Rally! Sio tu rally, njoo uburudike π°πͺ Kenya. Ruka na @MagicalKenya kupitia linki: kujifunza zaidi! #MagicalKenya # #TwendeKwaJirani #SafariRallyKenya2025
1
2
3
RT @IAMartin_: Mkifika mjini βmama, mama, mamaβ nyingi. Siyo mama yenu. Ni ukweli kwamba mama zenu vijijini hawana maji, hawana umeme, hawβ¦.
0
186
0
#YouTubers. Hakuna kitu kigumu kama kuwafanyia adoption audience ya YouTube from one Niche to another. US audience wako loyal sana kiasi unaweza jikuta wana Unsubscribe karibu Β½ ya Subs wako. Nini cha kufanya kabla hujachukua maamuzi ya kubadili contents?. Reply tujue!.
3
0
10
I already have 70 videos of this. 18 videos nimesha upload huko YouTube. Wenzangu muna ngapi ngapi huko?
Kama unaweza kujiongeza,, ingia youtube search 'BUDHISM WISDOM' tazama video za aina hiyo, transcibe audio,, nenda chatgpt rewrite transcript tafuta text to speech tengeneza voice over , tafuta footage pixabay au pexels,, tengeneza video, upload video 1 kila siku kwa siku 30
3
1
7
#YouTuber. Ukitaka kutoboa huko YouTube, ukweli ni kwamba loyal Audience ni female. Hawa wakiangalia video zako ni mpaka bando liishe ndio wanatoka kwa channel yako π. Ewe beginners jitafutie Niche yako na iwe based US, CA au UK.
0
4
17
RT @TOTTechs: Leo imetimia miaka 5 toka tuanzishe jukwaa la TOTTechs hapa X/Twitter, TOTTechs kirefu ni Tanzanian on Twitter Technologies,β¦.
0
30
0