citizentvkenya Profile Banner
Citizen TV Kenya Profile
Citizen TV Kenya

@citizentvkenya

Followers
7M
Following
16K
Media
558K
Statuses
892K

Kenya's Premier TV Station. Breaking News / Entertainment / Your Favorite Local TV Shows. Follow us on https://t.co/tPzCCpxeFt

Nairobi, Kenya
Joined August 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
2 hours
TAZAMA | #SemaNaCitizen
0
0
5
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
27 minutes
#AD When the crowd leaves, who cares for your family? Bima Life ensures they’re supported even after goodbye ✅ KSh 550 per year = KSh 50K ✅ KSh 1,050 per year = KSh 100K https://t.co/tI6GlNKFsJ
0
0
1
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
31 minutes
Matarajio ya 2026: Tunaangazia utendakazi wa serikali mwaka huu Mambo ambayo wananchi wanatarajia mwakani Rais Ruto aliaahidi kujenga Kenya kama Singapore Wakenya wengi wanalalamikia hali ngumu ya uchumi Serikali iliongeza ushuru wa mlipaji kodi mwaka huu #SemaNaCitizen
0
0
1
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
40 minutes
Ndoa za mseto Turkana: Mume asiye Mturkana lazima afanyiwe matambiko maalum Desturi za Waturkana kuhusu ndoa na makabila mengine #SemaNaCitizen
0
0
1
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
42 minutes
Uwiano wa wanasiasa Narok: Gavana wa Narok awahimiza wanasiasa wenzake kushirikiana MCA Masikonte na mwanasiasa Kudate waahidi kushirikiana #SemaNaCitizen
0
0
2
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
45 minutes
Uganda is known for its rich matoke culture and #KenyasGold went all the way to get that experience
0
0
1
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
45 minutes
Usafi wa wavuvi Kilifi: Wavuvi washauriwa kudumisha usafi wasikose soko la samaki #SemaNaCitizen
1
0
1
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
53 minutes
Mpango wa tujiaajiri Mombasa: Serikali ya kaunti yazindua mpango wa kutoa ajira kwa vijana #SemaNaCitizen
0
0
1
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
55 minutes
Kumbuka kuanza wiki na Mungu #Bambika
0
0
1
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
55 minutes
Sekta ya afya Nyanchwa: Mitambo ya Hospitali ya SDA Nyanchwa Kisii ilizimwa miezi mitano iliyopita Hospitali ya SDA Nyanchwa yazindua mpango wa kuboresha huduma #SemaNaCitizen
0
0
0
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
57 minutes
Udhibiti wa itikadi kali za dini: Serikali yashirikiana na viongozi wa dini kudhibiti uhalifu #SemaNaCitizen
0
0
1
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
57 minutes
Drama drama hapa kule pale #TahidiHigh
0
0
0
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
58 minutes
Tamasha ya Piny Luo 2025: Tamasha ya kila mwaka ya jamii ya Waluo yaanza rasmi Tamasha yaanza katika Chuo Kikuu cha Rongo, Migori #SemaNaCitizen
0
0
1
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
1 hour
Wuuuueeeh!!! Hawa wameamua hawataki peace hata kidogo #MotherInLaw
0
1
3
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
1 hour
Wanahabari na amani: Waandishi wa habari wahimizwa kuhubiri amani Mkutano wa pili wa kila mwaka wa wahariri wafanyika Wajir #SemaNaCitizen
0
0
0
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
1 hour
Dereva Pius Ngugi yuwapi? Dereva aliondoka nyumbani na mteja siku 11 zilizopita Familia yake yasema haijui aliko tangu wakati huo Simu yake iliripotiwa kuzikwa eneo la Athi River #SemaNaCitizen
1
0
0
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
1 hour
Kisunzi cha gredi ya 10: Taasisi ya Mtaala yaondoa hofu ya uhaba wa vitabu KICD yakiri vitabu havijachapishwa kutokana na madeni Serikali yaahidi kuwalipa wachapishaji vitabu #SemaNaCitizen
0
0
2
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
1 hour
Hii holiday inaenda kubamba sana courtesy of #Bambika
0
0
1
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
1 hour
Ufadhili wa elimu: Dkt Omollo asema serikali imejizatiti kuimarisha sekta ya elimu #SemaNaCitizen
0
0
0
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
1 hour
Brand new week! Let’s gooo! #KenyasGold
1
0
2