CHADEMA Profile
CHADEMA

@CHADEMA

Followers
5K
Following
76
Media
5
Statuses
98

Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Tanzania
Joined December 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@CHADEMA
CHADEMA
2 months
Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025: Kutoka Mkapa vs Mrema hadi Samia vs Mwajuma https://t.co/aG9dum9GwV #Tanzania #NRNE #Mkapa #Mrema
1
0
3
@freemanmbowetz
Freeman Mbowe
10 months
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama
3K
3K
14K
@mdudenyagali
Mdude Nyagali
10 months
Mambo ya hovyo kabisa haya fikiria watu wote wanaomuunga mkono Lissu wamekatwa kwenye kugombea kamati kuu isipokuwa Pambalu, halafu chawa wa Mwamba wamepitishwa wote kama walivyo. Najaribu kuwaza hivi kweli hawa wenzetu dhamila yao ni kuishinda dola? Au na wenyewe ni sehemu ya
345
140
884
@masoudkipanya
Masoud Kipanya
4 years
Katunika
88
211
2K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Naomba kuuliza Samia Suluhu haelewi kuwa #Tanzania haina machifu? Haelewi kuwa machifu waliondolewa kwa mujib ya SHERIA na wanakatazwa Kwa SHERIA kutenda function ya kichifu? Nani anaemshauri Samia Suluhu jamani? Kaapa kulinda KATIBA na SHERIA za Nchi hii, kwanini anafanya hivi?
@Hakingowi
Haki Ngowi
4 years
🔹Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania,Chifu Hangaya Rais Samia Suluhu Hassan,akiwa na Vazi la Kimila la Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania yani Hangaya yani ni Nyota inayong`aa,katika Tamasha la Utamaduni(Mila na Desturi zetu)Leo katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mwanza
148
77
368
@bbcswahili
BBC News Swahili
5 years
Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif amekamatwa kisiwani Zanzibar
111
306
2K
@kigogo2014
Kigogo Media
5 years
Developing story! 👉@SeifSharifHamad anashikiliwa kituo kikuu cha polisi Zanzibar !
13
84
897
@kigogo2014
Kigogo Media
5 years
Hivi ndivyo Meko anavyotoa uhai wa watu kulazimisha Mwinyi awe Rais.. Tukiposema kafika mahali kakodi warundi kuja kufanya kazi hii hatukuwa tunatania
@hassankham1s
Hassan Khamis 🇵🇸
5 years
Idadi ya waliouwawa inaongezeka kisiwani Pemba.
100
154
957
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
5 years
Updates coming from #Zanzibar through opposition @ACTwazalendo about the election related violence that happened at night. 4 identified civilians have been killed 👇🏽 #ZanzibarLivesMatter
18
106
691
@kigogo2014
Kigogo Media
5 years
Alert 👉Whatsapp calls restricted in Tanzania ! Shame and sad 👉Meko ameharibu sana hii nchi kwa kumsikiliza dikteta mwenzake Kagame 👉Lakini tutakutoa tu yaani hatutanii we are serious! #FreedomOfSpeech
34
140
1K
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
5 years
Wakati walipitisha sheria inayokataza matumizi ya VPN, nilijua ni kwa lengo ya ku-restrict wananchi kupata access ya internet. Utakuta wao washahamasishana WOTE wana VPN lakini mwananchi ni kosa TUMIENI VPN - ni haki yetu kupata habari! #ChangeTanzania #ZanzibarLivesMatter
80
254
2K
@HilmiHilal88
Hilmi Hilal
5 years
Taarifa! Pemba: Jimbo la Wingwi wamepiga Risasi za moto watu wanne (4) na 1 Amefariki. Alofariki Masoud Salim Fadhil, kijana anaekisiwa kuwa na miaka 16. #ZanzibarLivesMatter #UsikuWaMashahidi
25
134
636
@kigogo2014
Kigogo Media
5 years
Alert 👉Vikosi vya wanajeshi na TISS wanapanga kwenda kumzuia @SeifSharifHamad asitoke ndani kuanzia leo ! 👉Meko ulionywa hukusikia sasa damu zimetapakaa mikononi mwako
37
157
2K
@kigogo2014
Kigogo Media
5 years
Apparently the Tanzanian government restricted twitter both in the mainland and Zanzibar 🤔. Tough times ahead of us! #FreedomOfSpeech
44
156
1K
@xxxxpernille
Pernille Bærendtsen
5 years
I know we are many with #Tanzania - Unguja & Pemba - in our heart & minds tonight, and in coming days. Many conversations are connecting across oceans & continents. Peaceful elections, please! #TanzaniaDecides2020 #TanzaniaElections2020
18
111
538
@kigogo2014
Kigogo Media
5 years
Meko ameamua kuuwa watu kulazimisha kuibiwa kwa kura! Nadhani mwaka huu hafahamu huu uchaguzi ni wa tofauti sana! Ataondoka tu atake asitake
@hassankham1s
Hassan Khamis 🇵🇸
5 years
Update: Kijana aliepigwa risasi za moto usiku huu!
8
44
335
@zittokabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
5 years
@UN_Spokesperson
UN Spokesperson
5 years
Secretary-General @antonioguterres urges all political leaders and their supporters in Tanzania to participate in the general elections peacefully and refrain from violence. Full statement:
19
183
805
@kigogo2014
Kigogo Media
5 years
Hizi ni risasi za SMG zinaokotwa mitaani huko Pemba.. Meko must go! Huwezi kuuwa watu kwa tamaa za kuweka kiongozi ambaye hata mkewe tu hatamchagua maana ni zezeta na hafai
@hassankham1s
Hassan Khamis 🇵🇸
5 years
zipo Mitaani Pemba! #ZanzibariLivesMatter
23
88
586
@kigogo2014
Kigogo Media
5 years
Alert from Pemba 👉 12 people killed 👉 38 severely wounded 👉 several not know their whereabout! 👉Police are hiding and collecting people who are wounded
54
209
1K
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
5 years
In #Tanzania users are reporting @Twitter is crawling slowly to a halt and is restricted Kama unapata Twitter kwa shida reply hapo chini na kama uko tayari tutajie mkoa uliopo ili tuweze kujua tatizo. #ChangeTanzania #ZanzibarLivesMatter
@JiniKinyonga
Dotto Rangimoto
5 years
Mtandao uko chini mno, picha sioni twitter, na zaidi kuna kipindi twitter iligoma kabisa! Hii ni kwangu tu? #ZanzibarLivesMatter
492
180
1K