Muhammad Baggo
@BaggoJunior04
Followers
0
Following
121
Media
5
Statuses
13
Kila siku ni nafasi mpya ya kuleta mabadiliko.
Ruvuma, Tanzania
Joined September 2023
"A manager's job isn't easy. If 20 years as a consultant, psychologists, and professor of business has taught me anything, it is a profound sense of respect for the men and women who choose management as a career." ✍🏽Marvin Karlins.
0
0
1
The most interesting chapter of your life has not yet been written. Dream, create, achieve, inspire. #mtumishiwawatu🇹🇿
0
0
1
Nimeshiriki hafla ya Maulid ya Madrasat Jumuiyya iliyopo Kisumu Magomeni, Dar es Salaam. Mjumuiko huu umekuwa ni fursa ya kujifunza mengi toka kwa viongozi wetu wa Dini. Mola Karim azipokee kheri zetu hizi na atudumishe katika amani ili tuzidi kustarehe. #mtumishiwawatu🇹🇿
0
0
1
Nilipata nafasi ya kushiriki maandalizi na kuhudhuria Maulid ya Mtume (S.A.W) kwetu UHURU MADRASAH tarehe 13.09.2025. Hakika ilikuwa ni nafasi ya kihistoria hasa kukutana na watu mashuhuri, kupata nasaha za viongozi wa dini na kuburudika na Qaswidah zenye naghma mbalimbali.
0
0
1
Ewe Mola wetu, kwa huruma yako tusamehe jumla ya makosa yetu, tunyime hila za kukuasi na tupe nguvu za kukuabudu. Tupe nyoyo laini ili tuwaombee mema jamaa zetu kabla ya kujiombea sisi. Wasamehe marehemu zetu, nasi tupe mwisho mwema na utukutanishe nao peponi Yaa Rabb! 🤲
0
0
1
Peponi kuna mlango unaitwa Al-Rayyaan, mlango huo ataingia yule ambae aliyefunga na akiingia tu mlango huo hujifunga na hatoingia mwengine yeyote! 2 Ramadhani, 1445 = 12 Machi, 2024.
0
0
1
Alhamdulillaah tumeufikia tena mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Ni wasaa wa kuzidisha mema na kuacha kabisa maovu. Mola Kareem atuwepesishie katika kutekeleza ibada zetu, atukubalie ibada zetu na atulipe malipo bora zaid InshaAllaah. Nawatakia Ramadhani yenye baraka.
0
0
1
Heri ya siku ya UHURU Tanzania yangu. Hizi ni jitihada thabiti ambazo wazee wetu wakiongozwa na Mwl. Julius K. Nyerere walizifanya kwa faida ya kizazi hiki. Na sisi tuwawekee mazngira bora watanzania wa kizazi kijacho. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika. 🇹🇿🥰
0
0
1
Tunaungana kama watanzania kwa pamoja na wahanga wa majanga yaliyotuka Hanang hv karibuni. Mola Kareem awapokee na awaweke mahali stahiki ndugu wote waliopoteza maisha, awape pona yenye nafuu majeruhi wote, awape subira wafiwa na wauguzi wote. Aamiyn 🤲🏽
0
0
1